Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akifafanua jambo wakati wa mahojiano mapema leo asubuhi ndani ya kituo cha redio ya Clouds FM iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
Mtangazaji wa Clouds Fm Wasiwasi Mwabulambo akijaribu kuwaonyesha Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh Bernard Membe na Afisa Habari wa wizara hiyo Mindi Kasiga jinsi redio inavyofanya kazi online walipokuwa wakifanya mahojiono.Habari zaidi Bofya Hapa