Taswira


Jengo la ghorofa la matofali mabichi kama lilivyonaswa na mpigapicha (Majira)wetu katika kijiji cha Msafiri kilichopo Bungu wilayani Rufiji jana. Ni hatari, lakini salama.

Categories: