Taswira


Baadhi ya wagonjwa wakiwa wamelazwa chini kwenye ukumbi unaounganisha wodi namba 17 na 18 katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) kama walivyokutwa jana. Wodi hizo zimeelemewa na wagonjwa wanaotokana na ajali za barabarani. Picha na IPPMEDIA

Categories: