Transfoma ya lipuka na kuteketeza mali TBC


Transforma iliyopo ndani ya viwanja vya TBC iliyo lipuka mchana huu ikiwaka moto na kufanya wafanyakazi wahangaike kuzima. hii ni mara ya pili kulipuka kwa tranforma hii katika wiki moja baada ya kulipuka juzi jumanne na kuwahi kuzima. Imeelezwa pia kuwa transforma hiyo ni mpya baada ya kubadilishwa ile ya awali juzi. Baadhi ya ofisi za TBC ambazo ziko jirani na transforma hiyo zimeungua moto. Kama kawaida kikosi cha zima moto kilichelewa kufika eneo la tukio na kusababisha hasara kubwa.

Kwa sasa moto huo umezimwa.


Moto ukiendelea kuwaka kwa kasi.


Moshi mzito ulitanda maeneo ya bamaga leo.

Categories: