Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mh Zitto Kabwe ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhumbili kwa Matibabu. Madaktari wamesema anasumbuliwa na Malaria na kwamba anaendelea vyema na matibabu. Picha na Hilary Bujiku wa PMO
|