Showing posts with label waziri mkuu. Show all posts
Showing posts with label waziri mkuu. Show all posts

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA FINLAND OFISINI KWAKE LEO












Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi Finland nchini, Mhe Sinikka Antila wakati alipowasili ofisiki kwakwe jijini Dar es Salaam leo tayari kwa mazungumzo yao.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»

WAZIRI MKUU mIZENGO PINDA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA VODACOM JIJINI DAR LEO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam. Bw. Rene alimtembelea Waziri Mkuu kwa lengo la kujuliana hali na kujitambulisha kama sehemu ya kuendeleza uhusiano wa Vodacom na serikali. Katikati ni Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano wa Vodacom Bi. Mwamvita Makamba.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimkaribisha ofisini kwake Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza aliyefika ofisini kwa Waziri Mkuu leo kwa lengo la kujuliana hali na kujitambulisha kama sehemu ya kuendeleza uhusiano wa Vodacom na serikali. Katikati ni Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano wa Vodacom Bi. Mwamvita Makamba.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Sheria wa kampuni ya Vodacom Bw. Walarick Nittu wakati Mkurugenzi Mendaji mpya wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza (wa pili kulia) alipomtembelea Waziri Mkuu ofisini kwake jijini Dar es salaam leo kujitambulisha. Wa pili kushoto ni Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano wa Vodacom Bi. Mwamvita Makamba
[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»

WAZIRI MKUU AONGOZA HARAMBEE YA SIKU YA MAVUNO KWENYE KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na watoto baada ya kuongoza harambee ya siku ya mavuno kwenye kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watoto waliochangia katika harambee ya siku ya mavuno ya kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo. Kushoto kwake ni paroko wa kanisa hilo,Padri Joseph Mosha. (Picha na Ofii ya Waziri Mkuu)
[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MH ZITTO KABWE LEO HOSPITALI YA MUHIMBILI


Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mh  Zitto  Kabwe ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhumbili kwa Matibabu. Madaktari wamesema anasumbuliwa na Malaria na kwamba anaendelea vyema na matibabu. Picha na Hilary Bujiku wa PMO

[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»

PINDA NA WATALII MBUGANI KATAVI


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watalii kutoka Switzerland, Rolv (katikati ) na Erica kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi wakati alipokagua athari za kiangazi kwenye hifadhi hiyo. Picha na mdau Hilary Bujiku wa PMO
 

[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»

WAZIRI MKUU PINDA NDANI YA HIFADHI YA KATAVI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama tembo wakati aliposimama kwa muda kwenye Lodge ya Katuma Bush katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mpanda wakati alipoitembelea kukagua athari za kiangazi kwenye Hifadhi hiyo Oktoba 20,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizama viboko waliosongamana kwenye tope baada ya mabwa na mito kukauka kuftokana na Kiangazi kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mpanda Oktoba 20,2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»

Rais Jakaya Kikwete Amaliza Ziara Yake Mpanda na Kurejea Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete akiwatazama wasanii wa kikundi cha ngoma cha Mtapenda cha Majimoto wilayani Mpanda(hawapo pichani) kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kabla ya kuondoka kurejea Dar es salaam October 18, 2011. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda .Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE AWASILI MPANDA NA KUZINDUA MKUTANO WA UWEKEZAJI UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA


Rais Dk. Jakaya Kikwete akisaliaiana na Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda, mara baada ya kuwasilia katika uwanja wa ndege wa Mpanda leo asubuhi, tayari kwa kufungua mkutano wa uwekezaji katika ukanda wa ziwa Tanzaganyika mikoa ya Rukwa, Katavi na Kigoma unaohudhuriwa na Mabalozi, maofisa wa serikali na wafanyabiashara pamoja na wawekezaji wa ndani na wa nje ya nchi, mkutano huo hivi sasa unaendelea kwenye ukumbi wa idara ya maji mjini Mpanda. Mpaka sasa Rais tayari ameshaingia ukumbini na anaendelea na hotuba yake ya ufunguzi matukio zaidi ya ufunguzi wa mkutano huo yatawajia baada ya muda, katika picha kulia anayeshuhudia ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya.
Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mkuu wa mkoa wa Rukwa Injini Stella Manyanya, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mpanda.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi Omar Nundu wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mpanda.
Wageni mbalimbali wakiwemo mabalozi pamoja na wawekezaji wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Mpanda.
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Rajabu Rutengwe katikati akiwaelekeza wageni mbalimbali wakati waliposili kwenye uwanja wa ndege mjini mpanda leo asubuhi kwa ajili ya mkutano huo.
Picha na habari kwa hisani ya Full Shangwe Blog
[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»

Taswira Za Muendelezo wa Ziara Ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda Nchini Marekani


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Rais wa zamani wa Brazil,Luiz Lula baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Marriott katika mji wa Des Moines, Iowa,Marekani October 13, 2011. Baadae Rais huyo alitunukiwa nishani ya Food Prize.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Rais wa World Food Prize, Balozi Kenneth Quinn wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kutoa salamu za Rais Jakaya Kikwete kwenye Mkutano wa World Food Prize kwenye hoteli Marriott aktika mji wa Des Moines, Iowa, Marekani October 13,2011.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
[ Read More ]

Posted by newstz.blogspot.com 0 comments»