WAZIRI WA ELIMU AZINDUA GARI LA ELIMU YA WAZI LA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF) JIMBONI KWAKE


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa akizindua Gari la Matangazo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) katika uwanja wa Top-Top mjini Bagamoyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Emanuel Humba.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge wa Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa akiwa ndani ya gari hilo wakati wa uzinduzi   wa Gari la Matangazo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) katika uwanja wa Top-Top mjini Bagamoyo.