WAZIRI WA NCHI YA OFISI YA MAKAMU MAZINGIRA DK TEREZYA HUVISA AKUTANA NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA NCHINI,BWA TIM CLARKE


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw Tim Clarke kuhusu Msimamo wa Tanzania na wa Umoja wa Ulaya Kwenye Mkutano ujao wa Mabadiliko ya Tabianchi Utakaofanyika Durban Afrika ya Kusini Unaotarajiwa kufanyika Novemba 28 hadi Desemba 9, 2011[Picha na Ali Meja}

Categories: