JAJI MKUU WA TANZANIA AMWAPISHA HAKIMU MKAZI KATIKA MAHAKA YA RUFANI

Jaji

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akimuapisha Mhe. Musa Francis Esanju kuwa Hakimu Mkazi, katika Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam, anayeshuhudia (katikati) ni Mhe. Francis Mutungi, Msajili Mahakama ya Rufani Tanzania

Categories: