RAIS WA ZANZIBAR MH DK ALI SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana


Watendaji wa Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na watendaji hao katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo jana


Watendaji wa Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman IKULU-ZANZIBAR

Categories: