JAJI LUBUVA AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE ANNA MAKINDA


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akijadili jambo na mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Mhe. Jaji Lubuva ambaye alimtembelea Spika kwa lengo na kubadilishana nae mawazo Ofisini kwake Bungeni, mjini Dodoma. Picha na Owen Mwandumbya-Bunge

Categories: