BONANZA CASTLE LAGER LAFAANA

 Meneja wa Bia ya Castle lager,Kabula Nshimo (wa pili kulia) akikabidhi Kombe wa Nahodha wa Timu ya mashabiki wa Timu ya Liverpool walioibuka kidedea kwenye bonanza la kufunga ligi kuu ya England na kuzinduliwa kwa kampeni ya kumpata shabiki bora (Supre Fan) atakaeweza kuungana na washabiki wengingine kutoka nchi mbali mbali Barani Afrika kwenda kushuhudia fainali za Mashindano ya Afrika,nchini Afrika ya kusini.Bonanza hilo liliandaliwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia Bia yake ya Castle Lager kwenye fukwe ya Mbalamwezi jijini Dar Es Salaama.

Mashabiki wa Timu ya Liverpool a.k.a Bwawa la Maini wakishangilia ushindi wao kwenye bonanza la kufunga ligi kuu ya England na kuzinduliwa kwa kampeni ya kumpata shabiki bora (Supre Fan) atakaeweza kuungana na washabiki wengingine kutoka nchi mbali mbali Barani Afrika kwenda kushuhudia fainali za Mashindano ya Afrika,nchini Afrika ya kusini.

Categories: