PATRICK MAFISANGO AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI LEO



Mchezaji wa Timu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam na Timu ya Taifa ya Rwanda, Patrick Mafisango (pichani) amekufa kwa ajali ya Gari alfajiri ya leo majira ya saa kumi wakati akiwa njiani kurejea nyumbani kwake. 

Categories: