ADAM NDITI: MBONGO ANAYECHIPUKIA DARAJANI


Mtanzania mwenzetu ambaye anachezea Chelse ya vijana. anaitwa Adam Nditi. Kijana ana bidii sana. Tunataka watu kama hawa ili wawe azina ya timu ya Taifa.


Adam Nditi katika mechi ya vijana kati ya Chelsea na Man U


Adam Nditi kwenye mapambano

Categories: