Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana,Mh. Said Amanzi (kushoto) akikabidhi kitita cha sh. Milioni 1 kwa nahodha wa timu ya Mabeho,Abbas Mabeho ambao ndio mabingwa wa kupiga makasia katika mashindano ya mbio za Mitumbwi yaliyofanyika jijini Mwanza hivi karibuni kwa udhaminiwa mkubwa wa Kampuni ya Bia Tanzania kupitia kinywaji chake cha Balimi Extra Lager.Watatu Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo ya Bia,Fimbo Buttallah.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana,Mh. Said Amanzi (kushoto) akikabidhi kitita cha sh. laki 6 kwa nahodha wa timu ya Wanawake ya Kigoko,Happiness Mnale ambao ndio mabingwa wa kupiga makasia kwa upande wa wanawake katika mashindano ya mbio za Mitumbwi yaliyofanyika jijini Mwanza hivi karibuni kwa udhaminiwa mkubwa wa Kampuni ya Bia Tanzania kupitia kinywaji chake cha Balimi Extra Lager.Watatu Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo ya Bia,Fimbo Buttallah.
Mbio zikiendelea.
Sehemu ya Washiriki wa Mbio za Mitumbwi zilizokuwa zilizodhaminiwa na Kampuni ya bia Tanzania kupitia kinywaji chake cha Balimi Exta Lager wakiwa katika maandalizi ya kuanza mashindano hayo kwenye fungwe ya Ziwa Victoria,jijini Mwanza hivi karibuni.