RAIS KIKWETE AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO AUSTRALIA



Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watanzania waishio Australia wakati alipokutana nao mjini Perth unakofanyika mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola leo jioni(picha na freddy Maro)