Vijana ambao hawakuweza kujulikana majina yao wakianza kuzichapa kavukavu kisa sh 500 wanaodaiana
Sasa wamekamatana na kutwangana makonde
Jamaa wakijaribu kuwaamulia na inashindikana
Pambano linaendelea
Jamaa washatumbukizana kwenye mtaro
Ugomvi hauishi nimeamua kuendelea na safari yangu
Picha na Mbeya yetu blog
Categories: