Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Duchess of Conrnwall katika dhifa ya kitaifa waliyowaandalia usiku huu Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisoma hotuba
Makofi baada ya hotuba ya Rais
Prince Charles akisoma hotuba yake
Prince Charles akisalimiana na binti ya Rais Jakaya Kikwete.
Duchess of Cornwall na Prince Charles wakiangalia zawadi waliyopewa na Mama Salma Kikwete
Rais Dkt Jakaya Kikwete akitoa zawadi ya kinyago ch ‘Ujamaa’ kwa wageni wake
Prince Charles na mkewe nao wakitoa zawadi kwa wenyeji wao
Categories:
ziara,
ziara ya prince charles