Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles akiongea na Afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania wakati wa maonyesho ya operesheni za Majeshi Ya kulinda amani ya Umoja wa Mataifa, Makoo Makuu Ya Jeshi, Jana .
Mwana wa Kifalme akiongea na wadau waliohudhuria semina ya WORLD WILDLIFE FUND ON SUSTAINABLE FISHERIES AND COMMUCNITY BASED MANAGEMENT OF FISHERIES RESOURCES IN TANZANIA. Mwana wa Kifalme ni Rais wa WWF huko UINGEREZA
Mwana wa Kifalme akimsikiliza Mhandisi wa Water Aid, Bw Herbert Kashilila akielezea mambo mabli mbali kuhusu mafanikio ya mpango huo na jinsi wananchi wanavyo faidika.
Mwana wa Kifalme akiambiwa jambo na Mkurugenzi Maritime Safety and Security, kapteni King Chiragi ndani ya ofisi za ofisi hiyo.
Categories:
ziara,
ziara ya prince charles