KITUO CHA MAFUTA CHA CAMEL OIL KILICHOPO SOKOTA CHANG'OMBE CHATEKETEA KWA MOTO


Kituo cha Mafuta Kilichopo Maeneo ya Chang'ombe sokota kimeungua moto Muda Si Mrefu hadi sasa chanzo cha moto huo hakijajulikana na haijafahamika kama kuna majeruhi au kuna watu wamepoteza maisha. Moto huo umewaka kwa takribani masaa mawili bila kikosi cha zimamoto kufika eneo la tukioMpaka tunaenda mitamboni kikosi cha zimamoto hakijafika bado na sehemu kubwa ya kituo hiko kimeteketea kwa moto.

Categories: