Rais Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CHADEMA,Mh Freeman Mbowe jioni ya leo alipoungoza ujumbe maalum wa kamati ya chama hicho kuona na Rais katika mchakato mzima wa kuzungumzia Katiba.
Mwenyekiti wa CHADEMA,Mh Freeman Mbowe akikabidhi rasimu ya mswaada wa marekebisho ya Katiba kwa Rais Kikwete Ikulu jioni ya leo jijini Dar.
Rais Kikwete akizungumza na ujumbe maalumu wa chama cha CHADEMA,ulipokwenda kukutana nae Ikulu jioni ya leo.
Rais kikwete akiwa katika picha ya pamoja na kamati maalumu ya uongozi wa Chadema,ikiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho,Mh Freeman Mbowe pamoja na baadhi ya Mawaziri leo Ikulu jijini Dar es salaama kuzungumzia mchamkato wa katiba.
Picha zaidi Bofya Hapa
Categories: