WAZIRI MKUU WA KENYA RAILA ODINGA NDANI YA BONGO KUZINDUA QUALITY CENTER


Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga akishuka kwenye ndege.


Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga akisalimiana na Mmiliki wa Quality Centre, Yusuf Manji. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq.


Gari lililombeba Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga.


Wafanyakazi wa Quality Centre wakiseti Screen yenye urefu wa mita 11 na upana wa mita 5 wakiwa katika moja ya kumbi saba za sinema zinazotarajiwa kuzinduliwa leo.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL
*****

WAZIRI Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, jana jioni alitua hapa nchini kwa ajili ya uzinduzi wa jengo la kisasa la biashara la Quality Centre, lililopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Shughuli hizo hizo zinatarajiwa kuzinduliwa leo asubuhi.

Categories: