PINDA AKUTANA NA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI, JAJI MSTAAFU, DAMIAN LUBUVA



Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu. Damian Lubuva (watatu kushoto) , makamu Mwenyekiti wa Tume, Mh. Hamid M Hamid na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi, Julius Mallaba. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Februari 1, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Categories: