ONESHO LA MAVAZI LADY IN RED 'RELOADED' 2012 KUWAKUTANISHA WABUNIFU ZAIDI YA 30


Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous Khamsin wa Fabak Fashion ambaye pia ni muandaaji wa onesho la Lady In Red 'Reloaded ' 2012 akiwa katika mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia onesho linalotarajiwa kufanyika Februari 10, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kulia ni Maulidi Mlawa ambaye ni Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care kilichipo wilayani Rufiji. Onesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 30 ambao wataonyesha mavazi yao.

Categories: