RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika Jaji Gerald Miyungeko aliyemtembelea jana baada ya kikao cha 18 cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia.wengine ni Makamu wa Rais wa Mahakama hiyo Jaji Sophia Akufo (wa pili kulia) na Jaji Nwanuri.Picha na IKULU

Categories: